Aoozu-Billahi-Minushaita-Nirrajim Bismillah Hirahmaan Niraheem Laa ilaa-ha il-lal-laa-hu Muhammadur-rasuulul-laah "HAPANA MOLA MWENYEKUABUDIWA KWA HAKI ILA...
jifunzeuislamu@yahoog...
May 1, 2007 8:07 pm
1077
waislam wenzangu kuna website hizi zifuatazo tunaweza kujifunza mengi katika dini yetu www.mawaidha.info www.alhidaaya.com www.uislam.net FREE pop-up blocking...
salim habsy
habsy003@...
May 2, 2007 7:35 pm
1078
In the Name of God, the Beneficent, the Merciful INSTITUTE of ISLAMIC SCIENCES, TECHNOLOGY, and DEVELOPMENT (CALIFORNIA, USA) Founder-President: Prof. S. Waqar...
16th Rabi’Akhar 1428 Bismihi Ta’ala 4th May, 2007 Friday Supplement WEEK’S CURRENT AFFAIRS ...
Tabligh Office
tabligh@...
May 5, 2007 5:24 am
1080
Ndugu Waisilamu, assalam Alaikum tafadhali pitia kiungo hiki kwa makala za kidini, inshaallah mtafaidika na maelezo yaliyomo kwenye makala hizo, msitusahau kwa...
Assalam Alaikum, Ndugu waisilamu, tafadhali faidikeni na juhudi hii kubwa ya kuisambaza Kur'ani kwa waisilamu na kwa wasiokuwa waislamu Duniani kwa ajili ya...
DISCOVER ISLAM Introduction: Islam Means peace, it also means submission and surrender. Hence, Islam is religion of peace. And when it comes to submission and...
UNGUDUE UISLAMU Utangulizi: Uislamu maana yake amani, vilevile humaanisha kunyenyekea na kujisalimisha. Kwa hiyo, Uislamu ni dini ya amani. Na inapokuja kwenye...
KONA YA WACHA MUNGU. ULINZI WA MOLA Wengi katika waliomtegemea M/MUNGU katika ulinzi wake ni wenye kufaulu kwani M/MUNGU hashindwi na...
Humudi hajiali
alhajiudii1@...
May 10, 2007 9:40 am
1085
KONA YA WACHAMUNGU (DHANA YA USHIRIKINA) (Na Ally-Udii) Mtindo wa baadhi ya watu katika familia kudhaniana, kufanya ujanja au kuchukia wengine kwa uzushi...
Humudi hajiali
alhajiudii1@...
May 11, 2007 9:53 am
1086
Last Update : 11 May 2007 (Ijumaa) 24 Rabiul Thani (Mfungo Saba) 1428 AH Makala Uislamu-Utangulizi ...
23rd Rabil'Akhar 1428 Bismihi Ta'ala 11th May, 2007 Friday Supplement WEEK'S CURRENT AFFAIRS Saudi...
Tabligh Office
tabligh@...
May 11, 2007 1:24 pm
1088
cholo saw this story on the BBC News website and thought you should see it. ** Message ** kushtuana tu kuhusu hizi chocolate na hizi nyama wanazotia,...
cholo
nassor007@...
May 16, 2007 5:16 am
1089
Tunaomba msaada. Jee kumuaji muislamu kufanya kazi nyumbani kwako kama mpishi na shughuli zote za nyumba--- Inafaaa au la. Tunavyofahamu kuwa ni najisi Shukran...
Mohammed Said
mohammed.said@...
May 16, 2007 5:17 am
1090
Ndugu Waisilamu, Assalam Alaikum Mtukufu Mtume amesema "FITNA NI KITU KILICHOLALA, LAANA YA ALLAH IMSHUKIE ATAKAYEIAMSHA, LAANA YA ALLAH IMSHUKIE...
Salam Alaykum
abujaafar@...
May 16, 2007 5:17 am
1091
Last Update : 18 May 2007 (Ijumaa) 1 Jamadul Uula(Mfungo Nane) 1428 AH Makala Uislamu-Utangulizi ...
KONA YA WACHA MUNGU.(SUHUBA NJEMA). (Na Al-Udii) Tamanianeni marafiki walio wema ili hatimae tupate kivuli siku yakukosekana kivuli ila kile cha M/Mungu....
Humudi hajiali
alhajiudii1@...
May 18, 2007 10:23 am
1093
SALAM ALAYKUM, NIMEONA HAPA KUNA WATAALAMU WA MADHEHEBU TAFAUTI YA KIISLAM, SASA NINGEPENDA KWA UMOJA WENU MUNIJIBU HAYA MASUALI AMBAYO YAMENIPA UTATA. 1) JE...
nassor mohamed
nassor007@...
May 19, 2007 10:03 am
1094
Salaam Alaikum, Ni haraam na ni vibaya kujisemea tusio yajua na kuambizana mabaya juu ya WAISLAAM, sie ni kitu kimoja hakuna SHIA wala wengine na tunatumia...
ABDULLA AL-HARTHY
harshanagroup@...
May 20, 2007 3:17 pm
1095
Jee inafaa kumuowa mkiristo ? JAWABU. Inafaaa kwa mwislamu mwanamme lumuowa mkristo mwanamke ,na hii ni kw mujibu wa maandishi ya Mwenyezimungu kwenye kita...
ballouh kacem
ka2002ballouh@...
May 23, 2007 5:35 am
1096
Assalam Alaikum Ustaadh Abdullah katika kumjibu Ustaadh Nassor Hemed ambaye aliuliza maswala yake na kupeleka nakala ya masuala yake kwa Hassan Alliy kuwa:...
Assalam Alaykum, Kwanza kabla ya kutoa ushahidi katika Qur-an Tukufu juu ya usahihi wa kuoa mkristo; inabidi tufahamu tofauti baina ya "wakristo" na hao...
KONA YA WACHA MUNGU ULEZI NA UADILIFU (Juu ya Mzazi kwa Watoto). Mara mtoto anapojaliwa kutembea uzuri na kukimbia sawa sawa bila shaka huanza kutumika...
Humudi hajiali
alhajiudii1@...
May 25, 2007 6:28 am
1099
Aoozu-Billahi-Minushaita-Nirrajim Bismillah Hirahmaan Niraheem Laa ilaa-ha il-lal-laa-hu Muhammadur-rasuulul-laah "HAPANA MOLA MWENYEKUABUDIWA KWA HAKI ILA...
jifunzeuislamu@yahoog...
Jun 1, 2007 6:39 pm
1100
Assalam Alaikum Kwa mujibu wa Kur'ani neno ahlul-Kitaab linawajumuisha wakristo na mayahudi wa zama zote, hao ambao hawakuwahi kuaamini Uungu wa Yesu na kuwa...
Dear Yussuf Kermali and others Assalam Alaikum As for Trinity, the Christians innovated this belief in 325 AD in the time of Constantine, thus when our beloved...
The split within Islam must end What is it that makes people slaughter one another in the name of religion? Which among all these warriors can claim the...
Kisa cha Al Hajjaj na Hind binti Nouman Tembelea: http://mawaidha.info/ Al Hajjaj bin Yusuf Athaqafy aliyekuwa gavana wa Iraq wakati wa utawala wa Abdul Malik...
Muhammad Faraj
mhdfaraj@...
Jun 4, 2007 8:08 pm
1104
Sheikh Ballouh Kacem, ahsante kwa majibu yako. Naomba kuuliza maswali mawili ya nyongeza:- 1.Jee huyo mwanamke wa kikiristo unaetaka kumuoa utambadilisha dini...
omar mngombe
mngombe2001@...
Jun 13, 2007 10:03 am
1105
Assalam Alaikum Sheikh Muhammed Faraj ahsante sana kwa kuchukuwa nafasi ya wakati wako muhimu kwa kutuletea mawaidha kama haya yenye kuturudisha katika ucha...