Skip to search.

Breaking News Visit Yahoo! News for the latest.

×Close this window

matokeo-ya-mitihani · Matokeo ya Mitihani Tanzania

The Yahoo! Groups Product Blog

Check it out!

Group Information

  • Members: 29
  • Category: Swahili
  • Founded: Dec 23, 2005
  • Language: English
? Already a member? Sign in to Yahoo!

Yahoo! Groups Tips

Did you know...
Message search is now enhanced, find messages faster. Take it for a spin.

Home

 

Activity within 7 days:

(No Activity)

Description

MKOA wa Kilimanjaro umeongoza katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba kwa kufaulisha kwa asilimia 62.41 na kuibuka wa kwanza huku mkoa wa Morogoro ukishika mkia kwa kupata asilimia 29.83.

Waziri wa Elimu na Utamanduni, Bw. Joseph Mungai, alitangaza matokeo hayo jana kwa waandhisi wa habari na viongozi mbali mbali katika ukumbi wa mikutano wa Mkuu wa Mkoa wa Iringa.

Waziri Mungai alisema jumla ya wanafunzi 493,946 walifanya mtihani wa darasa la saba Septemba mwaka huu, ambapo wanafunzi 305,062 sawa na asilimia 61.76 walifaulu mtihani huo.

Alisema wasichana 131,312 walifanya vizuri katika mtihani huo ambapo kufaulu kwao ni sawa na asilimia 54.58 huku wavulana 173,750 sawa na asilimia 68.58 ndio waliofaulu.

Akifafanua matokeo hayo kwa kila mkoa na asilimia ilizopata kwenye mabano, Waziri Mungai alitaja mikoa kama ifuatavyo: Kilimanjaro (62.41%), Mara (56.05%), Dar es Salaam (54.8%), Mbeya (53.37%), Arusha (47.98%), Iringa (47.87%) na Manyara (45.54%)

Mingine ni Ruvuma (43.15%), Kagera(41.58%), Kigoma (41.34%), Mtwara (40.42%), Dodoma (39.77%), Shinyanga (39.36%), Mwanza (39.32%), Lindi (36.73%), Pwani (35.91%), Rukwa (35.82%), Tanga (34.26%), Singida (31.11), Tabora (30.15) na Morogoro (29.83).

Waziri Mungai aliipongeza mikoa ya Kilimanjaro, Mara, Dar es Salaam, Mbeya na Arusha, kwa kuongoza katika mitihani hiyo.

Hata hivyo alisema matokeo kwa waliofaulu mwaka huu ni bora zaidi katika mikoa 20 ikilinganishwa na mwaka jana lakini mkoa wa Mbeya pekee ndio ulioshindwa kuboresha matokeo hayo mwaka huu.

Pia Waziri Mungai alizitaja halmashauri za manispaa na miji ambazo zimefanya vyema katika mtihani huo kwa kutinga nafasi ya tano bora kuwa ni Mbeya Mjini ambayo alipata asilimia 91.3, Moshi Manispaa (87.7%), Iringa Mjini (82.8%), Kigoma Mjini (79% ) na Mwanza Mjini (65.2%).

Most Recent Messages

  (View All)
File - Wanafunzi wanachama wa kikundi hiki
Kama wewe ni mwanafunzi na jina lako ni moja kati ya waliojiunga na elimy sekondari 2006, tuma picha yako/zenu za sherehe mbalimbali shuleni, sisi tutawapambia
Posted - Sat Jun 1, 2013 11:50 pm
matokeo-ya-mitihani@y...
Send Email Send Email
File - Mafanikio ya Elimu katika Mkoa wa Dar es Salaam
WILAYA YA ILALA VIJIJINI - WASICHANA Benjamin William Mkapa �Kutwa Chang�ombe �Kutwa Dar es Salaam �Kutwa Jamhuri �Kutwa Jangwani �Kutwa
Posted - Sat Jun 1, 2013 11:50 pm
matokeo-ya-mitihani@y...
Send Email Send Email
File - Wanafunzi wanachama wa kikundi hiki
Kama wewe ni mwanafunzi na jina lako ni moja kati ya waliojiunga na elimy sekondari 2006, tuma picha yako/zenu za sherehe mbalimbali shuleni, sisi tutawapambia
Posted - Mon Apr 1, 2013 2:10 pm
matokeo-ya-mitihani@y...
Send Email Send Email
File - Mafanikio ya Elimu katika Mkoa wa Dar es Salaam
WILAYA YA ILALA VIJIJINI - WASICHANA Benjamin William Mkapa �Kutwa Chang�ombe �Kutwa Dar es Salaam �Kutwa Jamhuri �Kutwa Jangwani �Kutwa
Posted - Mon Apr 1, 2013 2:10 pm
matokeo-ya-mitihani@y...
Send Email Send Email
File - Wanafunzi wanachama wa kikundi hiki
Kama wewe ni mwanafunzi na jina lako ni moja kati ya waliojiunga na elimy sekondari 2006, tuma picha yako/zenu za sherehe mbalimbali shuleni, sisi tutawapambia
Posted - Sat Mar 2, 2013 5:35 am
matokeo-ya-mitihani@y...
Send Email Send Email
Add matokeo-ya-mitihani to your personalized My Yahoo! page Add to My Yahoo! XML What's This?

Message History

Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec
2013 2 2 2 2 2
2012 2
2006 2 2 2 2 2 2 2 2 2 1 2
2005 1

Copyright © 2010 Yahoo! Inc. All rights reserved.
Privacy Policy - Terms of Service - Guidelines NEW - Help